Machapisho Maarufu

Jumatano, 19 Juni 2013

KAMBI LA MOTO[FIRE CAMP]

kambi la moto ni kambi ambalo vijana hukusanyika sehemu moja wakati wa usiku wakiuzunguka moto kwa ajili ya masimulizi ya kikristo na mafunzo.vijana wa mabalozi walipata nfasi ya kukusanyika pamoja katika kambi la moto.katika kambi hili vijana waliweza kujifunza mambo mbalimbali kuhusu maisha na wakati uliobaki mpaka kurudi kwa yesu.pia mafunzo kama nishani ya nyota yalifundishwa ambapo vijana waliweza kuuona ukuu wa Mungu