Machapisho Maarufu

Jumapili, 14 Aprili 2013

CHAMA CHETU

chama hiki ni chama ambacho kipo chini ya kanisa la waadventista wasabato mbeya mjini, mkoa wa mbeya.
katika chama chetu tunajihusisha na mafundisho mbalimbali kama: uinjilisti,unabii,mafundisho ya biblia na mambo mengi ya kiroho,kijamii na kielimu..
                                                       UINJILISTI
kama lilivyo lengo la chama cha mabalozi"kuokoa kutoka dhambini na kuongoza katika utumishi" chama kinashirikiana na kanisa la waadventista wasabato kueneza injili ulimwenguni..
                                       
    vivyo hivyo chama cha mabalozi mbeya mjini kinatoa mafundisho mbalimbali juu ya ujumbe wa malaika watatu na kurudi kwa yesu mara ya pili,pamoja na haya yote chama kinatoa elimu ya jamii inayotuzunguka.

Maoni 1 :

  1. Kama watenda kazi wa Mungu shambani mwake, imetupasa kuifanya kazi yake kwa nguvu zetu zote bila kusita kwani mwisho wa yote umekaribia.

    JibuFuta