Machapisho Maarufu
-
chama hiki ni chama ambacho kipo chini ya kanisa la waadventista wasabato mbeya mjini, mkoa wa mbeya. katika chama chetu tunajihusisha na...
-
kambi la moto ni kambi ambalo vijana hukusanyika sehemu moja wakati wa usiku wakiuzunguka moto kwa ajili ya masimulizi ya kikristo na mafu...
-
Wanachama wa chama cha mabalozi mbeya town walitembelea dalaja la mungu lililopo tukuyu wilaya ya rungwe mkoa wa mbeya. dalaja hilo l...
-
Ambassadors wote tunakumbushwa kufika siku ya jumanne saa tisa mchana kwa ajili ya mijadala na mafundisho mbalimbali.karibuni nyote na ...
Jumatatu, 22 Aprili 2013
MBEYA SDA AMBASSADORS CLUB
Ambassadors wote tunakumbushwa kufika siku ya jumanne saa tisa mchana kwa ajili ya mijadala na mafundisho mbalimbali.karibuni nyote na "MUNGU awabariki sana..."
Jumapili, 14 Aprili 2013
SAFARI YA DALAJA LA MUNGU(GOD'S BRIDGE TOUR)
Wanachama wa chama cha mabalozi mbeya town walitembelea dalaja la mungu lililopo tukuyu wilaya ya rungwe mkoa wa mbeya.
dalaja hilo lina aminika kuwa ni la asili yaani lilijengwa na mungu.halikadhlika kisayansi inaaminika kuwa daraja hilo lilitokana na msukumo mkubwa wa maji ambayo yalipelekea kutoboka kwa mwamba.haya ni maoni kutoka kwa baadhi ya wanachama.
issa yahaya alisema"mimi kwanilivyoona dalaja hili limetokana na volcano ilitoka kwenye mlima rungwe ambayo ilishuka na kupita kwenye mto kiwila" yeya anaamini kuwa volcano ilitoboa mwamba na kutengeneza daraja lile.
mwanachama mwingine anayefahamika kama HOSEA MWASIPOSYA alisema" vitu vya asili kama hivi hatupaswi kuumiza akili sana bali tunatakiwa kumuachia MUNGU na siku tutakayokuwa mbinguni atatupatia majibu"
wakiwa eneo la daraja la mungu, wanachama walijifunza mambo mbalimbali kama masomo ya unabii,ukuaji na kubalehe pamoja na mavazi na mitindo ya maisha.
CHAMA CHETU
chama hiki ni chama ambacho kipo chini ya kanisa la waadventista wasabato mbeya mjini, mkoa wa mbeya.
katika chama chetu tunajihusisha na mafundisho mbalimbali kama: uinjilisti,unabii,mafundisho ya biblia na mambo mengi ya kiroho,kijamii na kielimu..
UINJILISTI
kama lilivyo lengo la chama cha mabalozi"kuokoa kutoka dhambini na kuongoza katika utumishi" chama kinashirikiana na kanisa la waadventista wasabato kueneza injili ulimwenguni..
katika chama chetu tunajihusisha na mafundisho mbalimbali kama: uinjilisti,unabii,mafundisho ya biblia na mambo mengi ya kiroho,kijamii na kielimu..
UINJILISTI
kama lilivyo lengo la chama cha mabalozi"kuokoa kutoka dhambini na kuongoza katika utumishi" chama kinashirikiana na kanisa la waadventista wasabato kueneza injili ulimwenguni..
vivyo hivyo chama cha mabalozi mbeya mjini kinatoa mafundisho mbalimbali juu ya ujumbe wa malaika watatu na kurudi kwa yesu mara ya pili,pamoja na haya yote chama kinatoa elimu ya jamii inayotuzunguka.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)